HABARI MPYA

KITAIFA Taarifa kuhusu kutokuonekana kwa mwanafunzi Abdul Nondo

Leo March 7, 2018  tunakuletea habari kuhusu  Mtandao wa wanafunzi Tanzania wanazungumzia tukio la kutoonekana kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, Abdul Nondo ambae inasemekana hajaonekana toka jana.


No comments